“Wanatanga kwa kweli toka jana mimi sina la kusema. Inaonesha kabisa mlikuwa na hamu ya ziara hii, kwa sababu kila ninapokanyaga umati ni mwingi kwelikweli. Nafurahi kuzungumza nanyi katika uwanja huu ...