News

Kutokana na kero hizo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi ametoa siku tatu kwa madereva wa vyombo hivyo kuondoa milio ...
Naye Kaimu Balozi wa Uturuki nchini, Ali Ipek alisisitiza dhamira ya Uturuki kuimarisha biashara, uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi hasa katika miundombinu, kilimo, nishati na teknolojia. IPEK ...
DIRA ya Taifa ya Maendeleo 2050 imetaja sekta zenye fursa ya mageuzi kiuchumi ikiwemo ya viwanda, kilimo na utalii. Imeeleza kuwa Tanzania inalenga kuwa kitovu cha viwanda chenye ushindani kimataifa ...
Kwa mujibu wa ratiba hiyo, Agosti 22 mwaka huu, Halmashuri Kuu ya chama hicho ya Taifa inatarajia kukaa kikao kufikiria na kufanya uteuzi wa mwisho wa majina ya wanachama wanaoomba nafasi ya ubunge na ...
Makamu Mkuu wa Muhas anayeshughulikia taaluma, Profesa Emmanuel Balandya alisema chuo hicho kina uhusiano mzuri na Urafansa ...
MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema ubia wa sekta ya umma na binafsi (PPP) ni muhimu katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ...
MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeanzisha mitaala mipya sita ya Ualimu wa Amali inayolenga kuinua ubora wa elimu na kukidhi mahitaji ya walimu kufuatia mabadiliko makubwa ya Sera y ...
Hayo, yameelezwa na Mtaalam wa Nishati kutoka Ofisi ya Benki ya Dunia nchini Tanzania, Dk Rhonda Jordan wakati alipofanya ...
Ambapo Sheria ya Uchaguzi wa Rais ,wabunge na madiwani namba moja ya mwaka 2024 na Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ...
Misa hiyo imeongozwa na Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ambapo ...
DAR-ES-SALAAM : MSIMAMIZI Msaidizi wa Jimbo la Kivule, Wilaya ya Ilala, Dk. Mussa Ally ameipongeza serikali kwa kuwaruhusu wafungwa kushiriki katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu kwa mara ya ...